Tuesday, June 3, 2014

Kikosi cha timu ya soka ya Panone fc ya Mkoani Kilimanjaro.Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza.Nderemo na shangweFuraha ya kutinga daraja la kwanzaSapota wa Panone fc mkoani Mbeya wakishangilia mara baada ya timu hiyo kutinga ligi daraja la kwanza.Mmoja wa wajumbe wa kamati...
Straika hatari Radamel Falcao ameachwa kwenye Kikosi cha Wachezaji 23 kitakachocheza Fainali za Kombe la Dunia.Falcao, anaechezea Klabu ya Monaco huko France, ndie alikuwa Mfungaji Bora wa Colombia akiwa na Bao 9 kwenye Mechi za Kundi la Marekani ya Kusini kwa ajili ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia walipomaliza Nafasi ya Pili nyuma ya Argentina na yeye kuwa nyuma tu ya Wafungaji Bora...
Rais wa TFF, Jamal MalinziShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha Mwakilishi wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mara (FAM) katika Mkutano Mkuu wa TFF, William Chibura kilichotokea leo asubuhi (Juni 3 mwaka huu) katika Hospitali ya Mkoa wa Mara mjini Musoma.Chibura aliyezaliwa mwaka 1969 alikuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF akiwakilisha klabu za...
NA Mwandishi Wetu,Tanga.Wasanii nguli wa mziki wa Bongo Fleva na Filamu ambao ni wazawa wa mkoa wa Tanga wanatarajiwa kushiriki kwenye Tamasha ya kuuchangia mfuko wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na Ligi Kuu msimu ujao.Tamasha hilo litafanyika mapema mwezi Agosti mwaka huu baada ya kumalizika mwezi wa ramadhani na kabla ya ligi kuu Tanzania bara haijaanza.Akizungumza ...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania Silas Mwakibinga akiwaonesha waandishi wa habari uthibitisho wa malipo ya shilingi milioni 400 ikiwa ni sehemu ya pili ya malipo kwa ajili ya Ligi Kuu. Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Azam Media Rhys Torrington (kulia) akimkabidhi Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania Silas Mwakibinga nakala ya uthibitisho wa malipo ya fedha kwa ajili...
Fainali za Kombe la Dunia ni uwanja mpana. Ni mahali ambapo vipaji na vipaji vya wanasoka duniani huonekana. Madalali wa kuvumbua na kununua wachezaji [scouts] hufurika kwenye mashindano kama haya wakijua wazi kabisa kwamba pale ndipo watakapoona “lulu” kwa ajili ya vilabu vyao. Kwa maana hiyo kuna kila aina ya harakati za kimichezo na kuonyesha na kuonyeshana vipaji. Hii sio kumaanisha...

waliotembelea blog