Thursday, January 2, 2014

 Askari wa Kikosi cha Zima moto na Uokoaji Wakiwa wamepanda juu ya Mnara wa Simu Uliopo Ubungo Jijini Dar Es Salaam Muda mfupi uliopita kwaajili ya kumuokoa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Hassan Ambaye alipanda juu ya mnara huo kwa lengo la kufikisha Ujumbe wa kutaka kuonana na Raisi Kikwete ili aweze kumwelezea kwa kile anachodai kuwa jeshi la polisi lilimbambikia...
Wadau mbalimbali walitembelea sehemu ya pande za Maruku Beach ikiwa ni katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2014. Dj Anold (kushoto) kutoka Kampuni ya Pro24 ya Jijini Dar es salaam na (kulia) ni Dj Slay wa Radio Kasibante Fm 88.5 ya mjini hapa Bukoba wakipeana neno wakati wanatoa burudani ya Muziki leo kwenye fukwe za ziwa Victoria pande za Maruku Beach. Vijana nao hawakubaki nyuma walikuwepo...

waliotembelea blog