
Wadau mbalimbali walitembelea sehemu ya pande za Maruku Beach ikiwa ni katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2014.

Dj
Anold (kushoto) kutoka Kampuni ya Pro24 ya Jijini Dar es salaam na
(kulia) ni Dj Slay wa Radio Kasibante Fm 88.5 ya mjini hapa Bukoba
wakipeana neno wakati wanatoa burudani ya Muziki leo kwenye fukwe za
ziwa Victoria pande za Maruku Beach.

Vijana nao hawakubaki nyuma walikuwepo

Teso
Boy(kulia) akiteta na rafiki yake Oda Man kwenye fukwe hizo za Maruku
Beach jioni ya leo. kumbuka hawa wote ni waigizaji wa filamu, wenda
wakawa wanaujadili mwaka kuanza vyema kazi zao.

Dada
wakiwa kwenye mtumbwi wakipata raha juu ya maji huku wakitoa mawazo ya
mwaka jana 2013 na kuukaribisha mwaka mpya 2014 kwa furaha zao.

Hakika wamefurahia kuwa mahala hapa...karibu mwaka 2014!! Tumepitia mengi...

Dada nao mhh...karibu Maruku Beach 2014!

Kila mtu alikuwa na furaha yake na kujiona yu katika hali ya utulivu amani na pendo kuwa katika fukwe hii.

Tupo
hapa kwa Amani na upendo....kila kitu tunataka kiende sawasawa!
Tunashukuru kwa yote mpaka tumeweza kufika hapa na kuusherekea mwaka
2014 vyema na kwa usalama.

......Tusogee mbele zaidi

Nyama choma, chipsi, hapa ni kiwandani!!!

Jikoni
kama kawaida kuweka tumbo safi, maandalizi yalikuwa safi kwani watu
wameweza kula na kunywa kama kawaida katika sehemu hiyo pendwa ya Maruku
Beach.

Karibu rafiki yangu....mwaka mpya vipi?

Hawa waliamua kufurahia mwaka mpya sehemu hii kama unavyowaona!! Dada Maua akiwaongoza wenzake!

Dada Maua akiteta jambo na dada Adra katika fukwe hizo za Maruku

Hakika ilikuwa Beach Party ya kweli hii

Kifamilia zaidi hapa!! Hii ni Beach Party! kulia ni Dada Mainda Kassim akiongoza jopo lake sehemu hiyo pendwa ya Maruku Beach.

Mwaka mpya na mambo mapya!! karibu 2014

Na sisi tupo!

Pamoja sana...Seki

Kushoto ni Athman na T.Martin wakijuzana madude kabla ya kujiachia hapa Maruku Beach.

Maelfu
ya watu duniani walijiandaa na sherehe za kuupokea mwaka mpya wa 2014,
huko katika mji wa Sydney nchini Australia tayari walikwisha upokea
mwaka mpya wa 2014 kuliko maeneo mengine yote duniani, na sisi baadhi
hapa Bukoba Tumeupokea na leo tulikuwa tunausherekea kwa pamoja mahala
hapa.

Wakina dada wakipeana michapo mipya ya mwaka 2014

Full kukoki!!

Ki ufukwe ufukwe zaidi!!

Ukodak ukiendelea...kwenye camera yetu....Dada Mainda akiwa amebeba mtoto.

Mama na mwana wakilipuka ki 2014!!!

Ras Anold Kalikawe akitupia kiaina.....tupo pamoja one lavuu..swaggazz kubang bang

Ras Anold Kalikawe

Wengine stori zilipitiliza!!!

Mpango mzima ni furaha za mwaka mpya 2014

Mtu wa watu....na watu!!!

Full ukodak

Watoto wakichora michoro ufukweni

Hapa ndipo staili zinaanzia mpaka mwisho wa mwaka!

Pool nalo limesogezwa pande hii

Satty kulia katikati ni DJ Slay na Mc

Hapa ndipo Burudani ya Muziki ilipokuwa inasukwa chini ya Ma Dj wakali

Pamoja sana ...

Mpaka Giza likaanza kuchukua sehemu yake

Hapa walishazimika....full midundo na swagga..

Mambo ya Ngwasuma!!!

kuukaribisha na kuupokea mwaka mpya 2014 si mchezo!!!!

Funga mwaka hii na fungua mwaka!

Ras Anold na Gody Mwombeki wakitokelezea!!

Wadau

full mizuka!
Karibu mwaka 2014....................wanakwambia!! Wetohye!!
0 maoni:
Post a Comment