Monday, June 9, 2014

Mwimbaji Jennifer Lopez mjini Sao Paulo Corinthians Stadium ndipo Kipute cha Wenyeji   Brazil vs Croatia kitapigwa  lakini  Mwimbaji  J-Lo Hatashiriki...
England stars Daniel Sturridge and Chris Smalling are surrounded by locals on the beach in Rio Sturridge is greeted by a young supporter outside England's hotelA journalist attempts to get a word with Manchester United striker Danny WelbeckWelbeck is surrounded by young fans as Smalling (left) enjoys a cold drink England trio Smalling (left), Welbeck (centre) and Jordan Henderson...
Rihanna alikabidhiwa tuzo na mchekeshaji, Kevin Hart tuzo zinazojulikana kama Guys Choice Awards zilizofanyika Los Angeles. Rihanna akiwa na tuzo ya Most Desirable Woman baada ya kukabidhiwa. Wiki iliyopita baada ya Rihanna kupokea tuzo ya mitindo ya CFDA, akiwa na kivazi kikimuonesha nusu mtupu kilikuwa gumzo kiasi cha kushambuliwa na waimbaji wa kundi la TLC kuwa anajiuza huku Jay Z akijitokeza...
FRANCE, wakiwa njiani kwenda Brazil kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia zinazoanza Alhamisi, Jana waliifumua Jamaica Bao 8-0 kwenye Mechi iliyochezwa Grand Stade Lille Métropole huko Mjini Lille, France.Hadi Mapumziko, Franza walikuwa mbele kwa Bao 3-0 kwa Bao za Yohan Cabaye, Blaise Matuidi na Karim Benzema. Kipindi cha Pili, Matuidi na Benzema waliongeza Bao zao huku Olivier Giroud...

waliotembelea blog