LIGI KUU ENGLAND RATIBAJumamosi Desemba 12 15:45 Norwich v Everton 18:00 Crystal Palace v Southampton 18:00 Man City v Swansea 18:00 Sunderland v Watford 18:00 West Ham v Stoke 20:30 Bournemouth v Man United Jumapili Desemba 13 16:30 Aston Villa v Arsenal 19:00 Liverpool v West Brom 19:00 Tottenham v Newcastle...
Saturday, December 12, 2015


VINARA
wa Ligi Kuu England Leicester City wamezoa Tuzo zote mbili za Ubora za
Ligi hii kwa Mwezi Novemba kufuatia Claudio Ranieri kupewa Tuzo ya
Meneja Bora na Straika Jamie Vardy kuwa ndie Mchezaji Bora. Katika
Mwezi Novemba, Vardy, mwenye Miaka 28, alifunga Bao katika Mechi zao
zote 3 za Ligi na kuweka Rekodi ya kupiga Bao katika Mechi 11 mfululizo
za Ligi. Hii ni mara ya pili mfululizo...
Subscribe to:
Posts (Atom)