VINARA
wa Ligi Kuu England Leicester City wamezoa Tuzo zote mbili za Ubora za
Ligi hii kwa Mwezi Novemba kufuatia Claudio Ranieri kupewa Tuzo ya
Meneja Bora na Straika Jamie Vardy kuwa ndie Mchezaji Bora.
Katika Mwezi Novemba, Vardy, mwenye Miaka 28, alifunga Bao katika Mechi zao zote 3 za Ligi na kuweka Rekodi ya kupiga Bao katika Mechi 11 mfululizo za Ligi.
Hii ni mara ya pili mfululizo kwa Vardy kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu England baada ya kuitwaa pia kwa Mwezi Oktoba.
Nae Ranieri ameiongoza Leicester kutwaa Pointi 7 kati ya 9 kwa Mwezi Novemba kwa kuzishinda Watford 2-1, Newcastle 3-0 na kutoka Sare 1-1 na Man United.
Mechi inayofuata kwa Leicester ni Jumatatu Usiku dhidi ya Mabingwa Watetezi Chelsea.
VARDY'S GOAL SCORING STREAK
Aug 8 - vs Sunderland - 1 goal (4-2 win)
Aug 29 - vs Bournemouth - 1 goal (1-1)
Sep 13 - vs Aston Villa - 1 goal (3-2 win)
Sep 19 - vs Stoke City - 1 goal (2-2)
Sep 26 - vs Arsenal - 2 goals (5-2 defeat)
Oct 3 - vs Norwich City - 1 goal (2-1 win)
Oct 17 - vs Southampton - 2 goals (2-2)
Oct 24 - vs Crystal Palace - 1 goal (1-0 win)
Oct 31 - vs West Brom - 1 goal (3-2 win)
Nov 7 - vs Watford - 1 goal (2-1 win)
Nov 21 - vs Newcastle - 1 goal (3-0 win)
Nov 28 - vs Man United - 1 goal (1-1)
Monthly winners
August: Andre Ayew (Swansea City)
September: Anthony Martial (Man United)
October: Jamie Vardy (Leicester City)
November: Jamie Vardy (Leicester City)

0 maoni:
Post a Comment