Sunday, May 10, 2015

Real leo hali siyo shwari!!! sare yawaangusha! Walitoka nyuma ya bao 2-0 na kusawazisha kuwa 2-2 mpaka dakika 90 zinamalizika, Ronaldo pia akikosa penati katika mtanange huo!Cristiano Ronaldo akiwa hoi baada ya kubanwa leo na Timu ya Valencia CF huku Real wakitoka Nyuma na kusawazisha bao kuwa 2-2, Sare hiyo ikiwaacha nyuma ya pointi nne dhidi ya Vinara Barcelona. Fowadi wa Valencia...
Chupchupuu!!!Marouane Fellaini aliifungia Manchester United bao la pili na kufanya 2-1 dakika ya 78 na mtanange kumalizika United wakiibuka kidedea kwenye Uwanja wa Selhurst Park, London mbele ya mashabiki 25009. Ushindi huu wa United unawapa Matumaini ya Kucheza Klabu Bingwa Ulaya msimu Ujao kwani wamefanikiwa kupata pointi 68 na wapo ndani nne bora wakiwa pia nafasi ya nne. Ashley...

waliotembelea blog