Msanii
mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay leo
mchana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha Diamond
inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikishutiwa pale Sinza
Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Dir Adam Juma kutoka
Next LevelProf Jay akiwa na Prod P Funk Majani,DJ Choka akiingia mahakama...
Sunday, July 13, 2014


Uholanzi yaibana Brazil 3-0 na kutwaa nafasi ya tatu katika kombe la dunia.
Uholanzi ilimaliza katika nafasi
ya tatu katika kombe la dunia huko Brazil baada ya kuchomeka msumari wa
moto ndani ya kidonda cha wenyeji walipowalaza mabao 3-0 mjini Brasilia
siku ya jumamosi.
Mashabi wa Brazil waliwazomea wachezaji...
Subscribe to:
Posts (Atom)