
Mwenyekiti wa Kamati ya
Taifa Stars iliyoteuliwa hivi karibuni na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini
(TFF) Bwana Farough Baghozah amekutana na waandishi wa habari katika
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam na kuitambulisha rasmi kamati hiyo.
Katika kamati hiyo ya Taifa
ya Stars wapo Michael Wambura – Makamu Mwenyekiti, Bi Teddy Mapunda – Katibu,
Wakili Imani Madega – Mweka Hazina, na wajumbe...