Monday, October 19, 2015


Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast anayeichezea klabu ya Manchester City ya Uingereza Yaya Toure, October 19 kauli yake imeingia katika vyombo vya habari vingi, kutokana na wengi wao hawakuitarajia, Toure ambaye alijiunga na Man City mwaka 2010 akitokea klabu ya FC Barcelona ya Hispania amethibitisha kutokuwa na furaha  klabuni hapo.
Manchester City's Ivorian midfielder Yaya Toure celebrates after scoring his team's third goal and completing his hattrick during the English Premier League football match between Manchester City and Fulham at the Etihad Stadium in Manchester, northwest England, on March 22, 2014. AFP PHOTO / ANDREW YATES RESTRICTED TO EDITORIAL USE. No use with unauthorized audio, video, data, fixture lists, club/league logos or live services. Online in-match use limited to 45 images, no video emulation. No use in betting, games or single club/league/player publications. (Photo credit should read ANDREW YATES/AFP/Getty Images)
Toure ambaye toka awasili klabuni hapo akitokea FC Barcelona ya Hispania amefanikiwa kuisaidia Man City kutwaa mataji mawili ya Ligi Kuu Uingereza, Kombe la FA na Kombe la Capital One, amekiri kuwa licha ya kulipwa mshahara mkubwa na kutwaa mataji, amekuwa hana furaha klabuni hapo kutokana na vyombo vya habari vya Uingereza vimekuwa vikimsema.
2D827B3500000578-0-image-a-5_1445244027069
“Mara kadhaa nimekuwa sijisikii furaha, wakati najiunga na Man City mwaka 2010 nilisikia watu wakizungumza kuwa nakuja kuua mpira hapa na waandishi wa habari walikuwa wakizungumzia sana mshahara wangu mkubwa lakini nimekuwa na mchango mkubwa katika timu na kuisadia kushinda mataji”>>> Yaya Toure

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog