MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA STARS, FAROUKH BAGHOZA AKIMSIKILIZA KATIBU WAKE, TEDDY MAPUNDA. |
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa Stars iliyoteuliwa hivi karibuni
na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bwana Farough Baghozah leo hii
amekutana na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
na kuitambulisha rasmi kamati hiyo.
Katika kamati hiyo ya Taifa ya Stars wapo Michael Wambura –
Makamu Mwenyekiti, Bi Teddy Mapunda – Katibu, Wakili Imani Madega – Mweka
Hazina, na wajumbe wengine ni Juma Pinto, Isaac Chanji, Salum Abdalla na Moses
Katabaro.
Pia
Mwenyekiti amechukua fursa hiyo kutangaza kamati ndogondogo na wajumbe wake
kama ifuatavyo:
1.
Maandalizi ya timu, zikiwemo huduma kwa timu ya Taifa stars
Mwenyekiti
– Imani Madega
Wajumbe
– Msafiri Mgoyi,Teddy Mapunda.
SALEH ALLY NA EDO KUMWEMBE |
2.
Uhamasishaji wa mchezo (Michezo ijayo) na Masoko
Mwenyekiti
– Juma Pinto
Wajumbe
– Baraka Kizuguto, Mlamu Ng’ambi, Charles Hamka, Hashim Lundenga, Maulid
Kitenge, Shaffih Dauda, Salehe Ally, Peter Simon, Edo Kumwembe na Mahmoud
Zubeiry.
3.
Kamati ya Fedha
Mwenyekiti
– Farough Baghozah
Wajumbe
– Teddy Mapunda, Michael Wambura, Imani Madega,
Juma Pinto,
Isaac Chanji, Moses Katabaro na Edgar
Masoud.
4.
Mikakati ya ushindi – itakuwa na kamati ndogondogo na zitakuwa na wajumbe
mbalimbali wakiwemo Mwenyekiti Farough Baghozah, Teddy Mapunda, Mohamed Nassoro,
Philemon Ntahilaja, Isaac Kasanga, Cresencius Magori.
0 maoni:
Post a Comment