Thursday, November 21, 2013

Muonekano mpya wa Staa wa Bongo Movies,Vincent Kigosi’Ray’ umezua utata baada ya mashabiki wake kuponda tattoo zake alichora huku wengine wakimpongeza kuwa amependeza. Umechukiza vibaya mno delphinamkamba Acha Uswahili piga Kazi Kaka!!! Mbona Marehem Kanumba Alisemwa SN??? AU Umesahau Superstar Jalala!???? Kanumba alisemwa sana Lkn Aliyaacha YA ulimwengu Akapiga Kazi Ndio maana mpaka Leo Katangulia...
                        Bw. Barack Obama akiwa na jamaa zake....
Mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'. Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi.Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi,...
WANARIADHA kutoka nchi 21 wanatarajiwa kushiriki mbio ndefu za Uhuru, Uhuru Marathon, zinazotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam Desemba 8, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo, Katibu wa Kamati ya Uhuru Marathon, Innocent Melleck alisema, kujitokeza kwa wanariadha kutoka mataifa mbalimbali kumeongeza hamasa kubwa ya mbio hizo. Melleck alisema,...
...
Mwanamziki mashuhuri Tanzania, anayejulikana kama Afande Sele Amejiunga na M4C, kwa kuingia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Mji wa morogoro ulirindima vifijo wakati Afande akizunguka na Msafara wa Piki Piki kuwaaga rasmi wale wasio na misimamo thabiti Kisiasa, kama inavyoonekana katika picha. kwa upande mwingine wapenzi wa CCM walionekana kuwa nahofu na uchungu, na walihisi...
AY amesema kampuni yake ya Unity Entertainment haimsimamii tena aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa The Chase, Feza Kessy. AY amekiambia kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen jana kuwa hajawahi kukutana na Feza tangu arejee kutoka kwenye shindano hilo. “Tangu ameenda Big Brother na akarudi hatujawahi kukutana face to face,” alisema AY. “Kulikuwa na vitu...

waliotembelea blog