
Uongozi wa Young Africans SC umepata
warithi wa nafasi tatu za benchi la ufundi (Charles Boniface Mkwasa,
Juma Pondamali na Dr. Suphian Juma), huku wakiendelea na mchakato
kumpata kocha mkuu ambaye atachukua nafasi ya mholanzi Ernie Brandts
aliyesitishiwa mkataba wake mwishoni mwa mwaka 2013. Charles
Boniface Mkwasa 'Master' aliyekua kocha mkuu wa timu ya Ruvu Shooting
katika mzunguko...