Saturday, November 30, 2013

Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) ,wakidai kuwa Mbunge Lema ndie chanzo cha vurugu kwenye Chama kwa kuanzisha kikundi cha vijana ambacho kimekuwa tishio kwa wale wanaojaribu kupingana na sera za Mbunge huyo. pia wamedai kuwa Arusha kwa...
MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la (Baby Madaha) amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz si msanii bali ni mfanyabiashara. Madaha amesema kwamba Diamond si mwanamuziki na kwamwe huwezi kumlinganisha na msanii kama Barnaba Boy, anayefanya muziki kama sanaa na kazi kulingana...
A tycoon has been accused of forcing a woman to perform oral séx on him and telling her there is nothing she can do about it because he has a lot of money.32-year-old British Billionaire, Gregory Charles Cox faces two charges of séxual intercourse without consent with a 21-year-old tourist on the iconic Bondi Beach in Sydney, Australia.During the assault, Cox reportedly told the victim: ‘You...
Few hours ago,nchi yangu Tanzania imepata bahati  nyingine tena ya kutembelewa na ,kombe la dunia atakalo  pewa mbabe wa kabumbu Duniani ,ni kombe linaloheshimika   sana duniani kote..Hafla ya kulipokea imefanyika usiku  huu ndani ya viwanja vya hotel ya  Serena jijini Dar ,na  mimi kama barozi wa Coca cola nilikuwepo na nilipangwa  kama...

waliotembelea blog