Monday, November 17, 2014

...
Taifa Stars leo huko Mjini Mbabane, Swaziland Uwanjani Somhlolo imetoka Sare ya Bao 1-1 na Timu ya Taifa ya Swaziland, Sihlangu, katika Mechi ya Kimataifa ya Kirafiki.Sihlangu waliongoza Kwa Bao 1-0 hadi Mapumziko na Taifa Stars kusawazisha kwa Bao la Thomas Ulimwengu Dakika ya 51.Lakini Ulimwengu aliikosesha Stars ushindi baada ya kukosa Penati katika Dakika ya 72.Sihlangu waliongoza Kwa...
MWANAMICHEZO ambaye anacheza kwa kutumia pikipiki Bian Capper kutoka nchini Afrika kusini ametoa wito kwa watanzania kucheza mchezo huo ambao mbali ya kufurahisha pia unatumia akili na kukufanya uwe mkakamavu wakati wote.Akizungumza jana kabla kuonesha umahiri huo mchezaji wa pikipiki ambaye ni raia wa Afrika Kusini anayefanya ziara katika nchi za Afrika kwa udhamini wa kinywaji cha Redbull...
Hatimaye ile Filamu iliyokuwa ikisubiriwa sana na Wadau pamoja na Wapenzi wa Filamu Nchini ambayo Imechezwa na Wasanii kutoka Nchini Tanzania wakiwemo Slim Omary, Hashim Kambi, Irene Paul na Staa wa Filamu Kutoka Nchini Ghana Van Vicker iitwayo NEVER GIVE UP iliyochezwa Nchini Tanzania tayari imeshaingia Sokoni na Sasa inapatika katika Maduka yote ya Kuuza Filamu hapa Nchini. Vilevile ni...
EURO 2016: ENGLAND 3 vs 1 SLOVENIA, ROONEY NA DANNY WELBECK WAIPA USHINDI ENGLAND! ROONEY ACHEZA MECHI YA 100, AFUNGA BAO! Wayne Rooney akishangilia bao lake la mkwaju wa penati baada ya kusawazisha bao na kuweka 1-1 kwa bao walilokuwa wamejifunga wao wenyewe kupitia kwa Jordan Henderson usiku huu tarehe 15.11.2014 na Mtanange huo kumalizika kwa 3-1, England wameibuka Kidedea. Wayne Rooney...

waliotembelea blog