Friday, October 17, 2014

Ligi Kuu England wikiendi hii baada ya wiki mbili kupisha Mechi za Kimataifa na Mabingwa Watetezi Manchester City ndio watafungua dimba Jumamosi wakiwa kwao Etihad.City wataanza mapema Jumamosi kucheza na Tottenham Hotspur na kisha kufuata Mechi 6 zitakazoanza Saa 11 Jioni ambapo Arsenal watakuwa Nyumbani kucheza na Hull City na Chelsea Ugenini kucheza na Crystal Palace.Jumapili zipo...
Luis Suarez ametunukiwa Buti ya Dhahabu na Bosi wake wa zamani huko Liverpool Kenny Dalglish na hapo hapo kuthibitisha yuko tayari kwa El Clasico huko Spain kwenye mtanange kati ya Barcelona na Real Madrid.Suarez alitwaa Tuzo hiyo kwa kufunga Bao nyingi za Ligi Barani Ulaya, alipofunga Bao 31 kwenye Ligi Kuu England alipokuwa na Liverpool Msimu uliopita zikiwa ni idadi sawa na zile alizofunga...

waliotembelea blog