Wednesday, July 24, 2013

SIKU chache baada ya msanii wa filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, kutishia kumpa kisago msanii mwenzake ambaye pia ni mtangazaji, Christina John ‘Sinta’, mtangazaji huyo amefunguka na kumtaka aache mambo ya kizamani. Shilole, majuzi kupitia mitandao ya kijamii, aliandika kukerwa na Sinta kwa kumbeza kuwa hawezi kuimba na mwanamuziki maarufu wa Marekani J. Lo na kuwa hizo ni ndoto...
Dereva wa gari la JWTZ lililopata ajali katika eneo la Mwanakwerekwe wakati wa wakielekea kwenye mazishi ya wanajeshi wawili wa Zanzibar waliofari Darfur akishushwa kwenye gari katika hospitali ya Mnazi mmoja kwa ajili ya kupatiwa matibabu.Wanajeshi wakimshusha majeruhi wa ajali ya gari ya JWTZ iliotokea Mwanakwerekwe , katika hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga Maelezo...
STAA wa filamu na muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameingia matatani akidaiwa kuingia mitini na simu tatu za mkononi alizoaminiwa nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kufanya shoo. Msanii huyo alikumbwa na kasheshe hilo Julai 19, 2013 nyumbani kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sinza Mori, Dar.Siku hiyo Diamond alikuwa akifuturisha na aliwaalika watu mbalimbali...
  KIVAZI cha ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Peter, baada ya Paroko Msaidizi wa Kanisa hilo, Padri Paulo Haule, kusitisha ibada mpaka mhusika atoke akavae vizuri. “Ninatoa dakika 10 kwa aliyeingia na mavazi ambayo hayatakiwi kanisani humu kutoka mara moja akavae vizuri, la sivyo ndoa yao haitafungwa,” alisema Padri...
Hii ilikuwa siku ya jana baada ya kupata futari na ndugu,jamaa na marafiki na watu wasiojiwezaPresenter wa kipindi cha Take One Zamaradi ambae nae alikuwa mmoja wa wageni waalikwa aliamua kubadilisha mazingira na kuamua kunifanyia Interview mimi pamoja na familia yangujuu ya mfungo huu wa ramadhani na Jinsi tunavyokabiria na mambo mbalimbali ya kidunia ndani ya mwezi huu...Aliweza...

waliotembelea blog