Dereva wa gari la JWTZ lililopata ajali katika eneo la Mwanakwerekwe wakati wa wakielekea kwenye mazishi ya wanajeshi wawili wa Zanzibar waliofari Darfur akishushwa kwenye gari katika hospitali ya Mnazi mmoja kwa ajili ya kupatiwa matibabu.Wanajeshi wakimshusha majeruhi wa ajali ya gari ya JWTZ iliotokea Mwanakwerekwe , katika hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).
0 maoni:
Post a Comment