Wednesday, July 24, 2013


Hii ilikuwa siku ya jana baada ya kupata futari na ndugu,jamaa 
na marafiki na watu wasiojiweza
Presenter wa kipindi cha Take One Zamaradi ambae nae alikuwa 
mmoja wa wageni waalikwa aliamua 
kubadilisha mazingira na kuamua kunifanyia Interview mimi
 pamoja na familia yangu
juu ya mfungo huu wa ramadhani na Jinsi tunavyokabiria na mambo
 mbalimbali ya kidunia ndani ya mwezi huu...

Aliweza pia kuongea na Mama yangu mzazi Bi Sandrah,Cuzin
 Brother Rommy Jones,Dada zangu Esmah & Darlenee .....
Kuzungumzia mambo ya ndani ya kifamilia na n.k

Unaweza ukacheki picha kadhaa za nyuma ya pazia za Interview hiyo ya Take one special
ndani ya mwezi wa ramadhani iliyofanyika nyumbani kwangu sinza,bila kusahau
utaona kabisa kipindi kizima ndani ya TAKE ONE kwenye luninga yako kupitia
Channel ya CLOUDS TV...kila Jumanne saa 9:30 usiku...USIKOSEEEE..!!


Kuanzia ndani shuguli nzima ilianzia.....
Zamaradi akitangaza nje ya Nyumba .....
Nikiwakaribisha wageni wangu toka Take one na crew nzima ya Clouds Tv...
Mahojiano yalianzia nje na Zamaradi....




Baada ya kufturisha mimi na familia yangu kwa ujumla tuliweza kukaa chini na kufanya mahojiano na
zamaradi mketema......

Rommy Jones akizungumza jambo .....

Mama yangu alishindwa kuzungumza lolote kwa wakati ule......

Nikizungumza kwa Niaba ya Familia.....

Aunt Tahiya mtoto wa dada yangu akisoma Dua 
kutufungia zoezi zima la mahojiano na
Zamaradi...

Asante mungu kwa siku ya leo...........

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog