Mico the Best ni msanii mkubwa sana nchini Rwanda.... Kwasasa yupo hapa Tz kwaajili ya
Collabo ya wimbo wake mpya Sinakwibagiwe(Sijakusahau) Pale Mj-Recordz chini ya Dr. Chaliii!
Dr. Chali mtamboni akisababisha yake....
THE MAKING OF NATAKA KULEWA (MUSIC VIDEO)
Haya ni maandalizi ya awali yakifanyika,Mafundi wakifunga vyombo vya muziki...