Mico the Best ni msanii mkubwa sana nchini Rwanda.... Kwasasa yupo hapa Tz kwaajili ya
Collabo ya wimbo wake mpya Sinakwibagiwe(Sijakusahau) Pale Mj-Recordz chini ya Dr. Chaliii!
|
| Dr. Chali mtamboni akisababisha yake.... |
THE MAKING OF NATAKA KULEWA (MUSIC VIDEO)
| Haya ni maandalizi ya awali yakifanyika,Mafundi wakifunga vyombo vya muziki n.k |
| Director Raqey toka I-VIEW akifanya yake pia... |
| Hawa ni baadhi ya Models waliyoshiriki katika Video hii.... |
| Esma Khan |
| Lady Naa |
| Super Model Nance |
| Jully |
| Hapa Wasafi tukitupia nini na nini... |
| Mose Iyobo |
| Dumi Utamu |
| Mose Iyobo,Emma Platnumz & Rama (Wasafii) |
| Hata mimi kiti hiki kilikuwa kinanihusu pia.... |
| Nikifanya Interview na Martin Kadinda |
| Me,Raqey & Martin |
| Ndio kwanza shughuri imeanza ....Platnenga tena nikujipigia tu Drums |
| Mose Iyobo |
| Emma Platnumz |
| Dumi Utamu |
| Nisha kageuka kuwa Pedeshee wa Kike nikumwaga minoti tu LOL! |
| & Ma` Sister Esma |
| Hawa ni Wazee waliyoshiriki pia kwenye Video hii |
GET READY FOR THE NEW VIDEO TOKA KWA KEISHA ft. DIAMOND PLATNUMZ
| Nikiteta jambo na Keysher kabla ya kushoot... |
| Taym ya Makeup sasa.... |
| Hii ndio ilikua scene ya mwanzo kushoot... |
| Basi wadaku msije mkazua yenu tena... maana hamkawii....Video tu HIII!!! |
| Baadhi ya crew ya Next Level ikitimiza wajibu wake.... Basi mwanadada huyu anavyonishangaa navyopaka wanja...LOL! |
| Kwa mara nyingine tena mmmh! mwenzangu.... |
| Hii ni moja ya scene...tulizozishoot tukiwa ndani ya Gari |
| Hizi ndo scene nnazozipenda mie sasa za maakuli |
| Kazi na dawa...huu ulikuwa ni muda wa makulakula |
| Dumi Utamu tena... |
| Baadhi ya models walioshiriki |
| Keisha akifanya Makeup... |
| Alawi Junior & Mubenga |
RSS Feed
Twitter
2:34 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment