Paul Okoye akiimba
Wasanii
wa kundi la P- Square (Peter na Paul Okoye) jukwaani wakiwaburudisha
wakazi wa jiji la Dar es salaam usiku huu wa tarehe 23.11.2013 jijini
Dar ukumbi wa Leaders Club Kinondoni
watu
Mwanamuziki wa kundi la P square, Peter Okoye, akionesha uwezo wa
kulimudu gitaa


Peter na Paul Okoye jukwaani








Mtangazaji
wa kipindi cha Planet Bongo kupitia televisheni ya Chanel 5 Dulla
(Abdallah Ambua) mapema ndie aliefungua Show hiyo kwa kuwaita washindi
kundi la asilimia 100%
T-bway










, Benard Paul 'Ben Pol'












Msanii
mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Lady Jay Dee akiimba jukwaani
kuwatumbuiza mashabiki 
RSS Feed
Twitter
1:50 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment