
Mmoja
wa wazee wa Kimila wa Kabila la Wanyaturu, Mzee Semani Nyambia akimvisha
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, vazi la kimila (mgololi) ikiwa
ni ishara ya kusimikwa kuwa mlezi wa Wanyaturu, wakati wa Mkutano wake
wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ilongero, Jimbo
la Singida...