
12:50 AM

Unknown
Dakika
ya 70 Ander Herrera aliipatia bao la pili Man United kwa mkwaju wa
penati na kufanya 2-0 dhidi ya Man United. Benteke aliwafungia bao kali
Liverpool dakika ya 84 na kufanya bao kuwa 2-1.
Dakika ya 86 mchezji mpya wa Man United Martial alikatiza kwa mabeki wa Liverpool na kuwafunga bao la tatu na kufanya matokeo kubadilika na kuwa 3-1.
Wachezaji wa Manchester United wakipongezana kwa bao la Daley Blind la dakika ya 49 kipindi cha pili.
VIKOSI:
Manchester United: De Gea; Darmian, Smalling, Blind, Shaw; Carrick, Schweinsteiger; Mata, Herrera, Memphis; Fellaini
Akiba: Romero, McNair, Rojo, Schneiderlin, Valencia, Young, Martial
Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Lovren, Gomez, Lucas, Can, Milner, Firmino, Ings, Benteke
Akiba: Bogdan, Toure, Sakho, Moreno, Origi, Rossiter, Ibe 
0 maoni:
Post a Comment