Wednesday, July 29, 2015

Manchester United wameshindwa kutetea Taji lao la International Champions Cup baada ya kufungwa 2-0 na Paris Saint-Germain kwenye Mechi yao ya mwisho Usiku wa kuamkia Leo huko Soldier Field, Chicago, USA na kuiacha PSG ikibeba Kombe hilo.PSG walifunga Bao lao la kwanza katika Dakika ya 25 baada Mpira mrefu kutoka kwa Silva kumkuta Kipa David De Gea akiwa nafasi ovyo na Blaise Matuidi...
Mbwana Samatta ni mshambuliaji wa kimataifa kutokea Tanzania anaeichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo alijiunga nayo mwaka 2011 akitokea Simba ya Tanzania na mpaka sasa amekua mmoja kati ya wachezaji mahiri wanaounda safu imara ya ushambuliaji kwa TP Mazembe na timu ya taifa ya Tanzania. Samatta aliingia kwenye headlines siku kadhaa zilizopita baada ya kukataa...
NYASI za Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho zitakanyagika kwa mchezo wa miamba ya Jiji, Azam FC na Yanga SC katika Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame. Itakuwa mara ya pili, Yanga SC na Azam FC kukutana katika Kombe la Kagame, baada ya mwaka 2012 kukutana katika fainali pale pale Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam. Ilikuwa Julai 28, mwaka 2012 katika mchezo...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akizungumza na mamia wakati wa kutangaza adhima yake ya kujiunga na Chadema katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akijibu maswali...

waliotembelea blog