Tuesday, August 11, 2015

Winga wa Manchester City, Raheem Sterling ambaye amejiunga na timu hiyo baada ya kununuliwa toka Liverpool ameonekana kuanza kuwavutia mashabiki wa klabu yake mpya baada ya kitendo chake cha kugawa jezi kwa shabiki mdogo baada ya mchezo wake wa kwanza kwenye ligi kuu ya England. Sterling ambaye alinunuliwa katika dili la paundi milioni 49 alivua jezi yake baada ya mchezo dhidi ya Westbromwich...
Huku Manchester United wakionekana kujiandaa kutangaza usajili wa kiungo mshambuliaji Pedro Rodriguez, mahasimu wao toka Jijini Manchester, Man City wameingilia kati usajili huo na kutishia nafasi ya United. City kupitia kwa mkurugenzi wake mtendaji Txiki Bergistan wanajiandaa kupeleka ofa ya euro milioni 30 kwa ajili ya mchezaji huyo ambapo inaelezwa...
Shindano la kuibua na Kusaka Vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo limedumu kwa takribani Miezi Minne hatimaye shindano hilo linakaribia kufika tamati mnamo tarehe 22 August 2015 huku Mshindi Mmoja Akiondoka Na Kitita Cha Shilingi Milioni Hamsini Za Kitanzania. Na Washiriki waliofanikiwa kuingia Hatua ya Kumi bora watapata kifuta jasho huku wakiwa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za tume ya Taifa ya Uchaguzi kkugombea nafasi hiyo, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward...

waliotembelea blog