Wachezaji
wa Timu ya Watford wakiwa kwenye Basi la wazi kusherekea kupanda Ligi
Kuu kwenye eneo la Cassiobury Park.Ni baada ya kumaliza wakiwa nafsi ya
pili wakiwafukuzia wa kwanza na kumaliza wakiwa nyuma ya pointi moja tuu
ya Mabingwa Bournemouth. Huku wakiwa walikosa Ligi Kuu kwa jumla ya
Misimu 6 iliyopita na sasa wanapanda Ligi kuu England kwa msimu wa
2015/16. Watford wakiongozwa...