Friday, September 4, 2015

Nahodha mpya wa Uholanzi, Arjen Robben alitoka uwanjani baada ya dakika 27 tu kufuatia kuumia nyonga PICHA ZAIDI GONGA HAPA TIMU ya taifa ya soka ya Iceland imejisogeza kukata tiketi ya kufuzu kucheza mchuano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya, Euro 2016 baada ya ushindi wa penalti ya utata ya Gylfi Sigurdsson w 1-0 dhidi ya Uholanzi waliomaliza pungufu ya mchezaji...
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ameonge na vyombo vya habari kuhusu maendeleo ya timu na hali za wachezaji siku moja kabla ya mechi dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles, Walitakiwa kuwepo makocha wa timu zote mbili ila kocha wa Nigeria Sunday...
Baada ya kuweka headlines nyingi usiku wa tuzo za MTV VMA’s mwaka huu na show iliyoisha kwa machozi, Justin Bieber kaamua kuzungumza sababu zilizompelekea kuangusha machozi akiwa katikati ya show yake  ya MTV VMA’s 2015 jijini Los Angeles Marekani. Siku ya Jumatano msanii huyo wa R&B Pop alialikwa kwenye kipindi cha ‘The Tonight Show’...
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametangaza kuwa ana $150,000 (£100,000) kwenye akaunti zake za benki, katika hatua inayolenga kupiga vita ufisadi katika nchi yake. Kiasi hicho cha fedha kinaonyesha amekuwa akiishi ya kawaida sana tofauti na Makamu wake wa rais  Yemi Osinbajo ambaye...
Baada ya kuachia video ya wimbo wake ‘No Sleep’ aliomshirikisha J Cole kutoka kwenye album yake mpya ‘Unbreakable’, Janet Jackson amerudi tena kuziandika headlines zake kwenye kurasa za burudani. Good news kwako mtu wangu, kama wewe ni miongoni mwa mashabiki wakubwa wa Janet Jackson...
SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na KVZ usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika mchezo wa kirafiki. Kocha Muingereza, Dylan Kerr hakumtumia kabisa mshambuliaji mpya, Msenegali Pape Abdoulaye N’daw na kwa mara ya kwanza leo alimuanzisha Joseph Kimwaga aliyesajiliwa kwa mkopo kutoka Azam FC. Mshambuliaji Mganda Hamisi Kiiza aliisumbua mno ngome ya KVZ, lakini akashindwa kufunga...
KOCHA wa Timu ya Taifa ya Spain amesema Kipa David De Gea atajiamini zaidi kufuatia sakata lake la Uhamisho lililosababisha mvutano kati ya Klabu yake Manchester United na Real Madrid. Vicente Del Bosque anaamini David de Gea anapaswa kufurahia mvutano huo kati ya Klabu kubwa kabisa Barani Ulaya. De Gea alikuwa kwenye sakata la kuhamia Real Madrid lakini Uhamisho huo ulikwama...
Kadri siku zinavyo zidi kwenda tuna anza kujua mambo mengi yaliyokuwa nyuma ya pazia la usajili wa vilabu mbalimbali barani Ulaya, vipo vilabu ambavyo vilikosa wachezaji kwa sababu ya dau na mengine mengi. Ila usajili uliyoshindikana kutimia ni Pedro Rodriguez kushindwa kujiunga...
Licha ya kuwa alishindwa kutamba katika klabu ya Manchester United kama ilivyokuwa matarajio ya wengi Dimitar Berbatov aliamua kutimkia katika klabu ya Fulham, AS Monaco na sasa kajiunga na klabu ya PAOK ya Ugiriki aliyojiunga nayo msimu huu. Mshambuliaji huyo wa Kibulgaria mwenye umri wa...
PIGO! DANNY WELBECK NJE MWEZI MMOJA straika wa Arsenal Danny Welbeck atakuwa nje ya Uwanja hadi Krismasi baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye Goti lake. Welbeck, mwenye Miaka 24, aliumia Goti lake mwishoni mwa Aprili baada ya kuifungia Arsenal Bao 8 katika Mechi zake 34 tangu ahamie hapo kutoka Man United.  Klabu ya Arsenal imeeleza kuwa matibabu kwenye Goti hilo hayakwenda vizuri na...

waliotembelea blog