Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akikatiza katika Mtaa wa Hamugembe mjini
Bukoba alipokwenda kuwafariji waathirika wa tetemeko la ardhi liliua
watu 17 na kujeruhi wengine 252 hivi karibuni. Picha na Phinias Bashaya
Bukoba. Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewasili
mjini Bukoba mkoani Kagera kuwafariji waathirika wa tetemeko la ardhi
lililoukumba mkoa huo na kuua...
Saturday, September 24, 2016



Kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Mhandisi Methew Mtigumwe akimkabidhi
Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey D.J Mwanri (Kulia)
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Mhandisi Methew Mtigumwe akisoma Risala wakati wa makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru
Baadhi ya wakuu wa Wilaya za mkoa wa Tabora wakiulaki mwenge wa Uhuru mara baada ya kuwasili Mkoani hu...



Kipa
wa Timu ya Maji Maji ya Songea "Wana Lizombe", Amani Simba akiruka bila
mafanikio wakati akijaribu kuudaka mpira uliopigwa kwa umaridadi mkubwa
na Mshambuliaji wa Simba, Jamal Mnyate na kuiandikia timu hiyo bao la
kuongoza, katika Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa jioni hii
katika Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeweza kuibuka
kidedea kwa kuicharaza timu...



Mwenyekiti
wa Timu ya Bunge (Bunge Sports Club), Mhe. William Ngeleja akizungumza
na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es
salaam leo kuhusu mechi kati ya wabunge ambao ni wapenzi wa timu ya
Simba na wapenzi wa timu ya Yanga yenye lengo la kuchangisha fedha kwa
ajili ya kusaidia wahanga wa Tetemeko la Ardhi, lililoukumba Mkoa wa
Kagera hivi karibuni....


September
23 2016 Msajili wa vyama vya siasa alitoa msimamo na ushauri wake baada
ya kupokea malalamiko na kupitia maelezo ya pande zote kuhusu mgogoro
wa uongozi uliopo kwenye chama cha wananchi CUF.
Baada ya
upembuzi Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Mutungi alitoa mwongozo kuwa
Prof. Lipumba bado ni mwenyekiti halali wa chama hicho...



WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Dk Beatrice Byalugaba
kufanya uchunguzi na kubaini madaktari wa hospitali ya wilaya ya Mafia
wanaomiliki maduka ya dawa nje ya hospitali hiyo na kuwachukulia hatua.
Amesema
ameshangazwa kukuta maduka ya dawa yanayomilikiwa na madaktari nje ya hospitali
hiyo kwani tayari Serikali ilishaagiza kuondolewa kwa maduka ya...



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Spika wa Bunge
Job Ndugai, wakati Spika alipofika kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Septemba
24, 2016. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka. (Picha na
Bashir Nkoromo).
...
Subscribe to:
Posts (Atom)