Tuesday, July 5, 2016

Oleksandr Zinchenko Kutoka FC Ufa kwenye Ligi ya premia ya Russian ambaye kwa sasa ana miaka 19. ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande akizungumza kuhusu msaada ambao wameutoa kwa kituo cha Al--Madina. Zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya kusherekea sikukuu ya Eid El Fitri, Kampuni ya Multichoice Tanzania ambao ndiyo wasambazaji wa ving'amuzi vya DSTV nchini imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima ambao...
DIRISHA la Uhamisho la Ligi Kuu England limefunguliwa rasmi Julai 1 na litafungwa Agosti 31. Klabu kadhaa zimeshavamia Soko na kununua na pia kuuza Wachezaji. PATA DILI ZILIZOKAMILIKA HADI SASA: AFC Bournemouth MPYA Emerson Hyndman (Fulham) Bure Nathan Ake (Chelsea) Mkopo Lys Mousset (Le Havre) ADA HAIKUTAJWANJE Sylvain Distin (Ameachwa) Tommy Elphick (Aston Villa) ADA HAIKUTAJWA Matt Ritchie...
Zlatan Ibrahimovi...
Taarifa za awali ambazo zimeripotiwa hivi punde ni kuhusu ajali iliyohusisha mabasi mawili, Kamanda polisi mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka amesema ajali ya basi namba T 531 BCE likitokea Dar es salaam kwenda Kahama na T 247 lililokuwa linatoka kahama kwenda Dar es salaam yote...

waliotembelea blog