REAL
Madrid imejihakikishia kucheza robo fainali ya michuano ya
Ligi ya
Mabingwa barani Ulaya baada ya kuitandika Schalke 04 ya Ujerumani
mabao
6-1. Mchezaji bora wa dunia, Cristiano Ronaldo, mchezaji
aliyevunja
rekodi ya usajili ulimwenguni Gareth Bale pamoja
na mchezaji mahiri
Karim
Benzema walihakikisha...