Ofisa Biashara wa Manispaa ya Kinondoni,
Ananias Kamundu (wa tatu kushoto), akipata maelezo kuhusu bidhaa za
kampuni mpya ya simu za mkononi ya Halotel katika hafla ya uzinduzi
rasmi wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Viettel Tanzania wamiliki wa Halotel, Nguyen
Thanh Quang na wageni wengine waalikwa. Ofisa
Biashara wa Manispaa ya...