
Kepteni wa Liverpool Steven Gerrard amepuuza kushangiliwa na Mashabiki
wa Chelsea Jana Uwanjani Stamford Bridge walipotoka 1-1 na kuua
matumaini yao ya kufuzu 4 Bora na hivyo kukosa kucheza UEFA CHAMPIONS
LIGI Msimu ujao.Wakati akibadilishwa katika Dakika ya 79 na
kuingizwa Lukas, Gerrard alishangiliwa na Meneja wa Chelsea Jose
Mourinho na Mashabiki wa Chelsea na hili hasa wakitambua hiyo...