Tuesday, October 13, 2015

Robin Van Persie akiifich uso! Dakika ya 83 Robin van Persie Alifunga bao na kuifanikishia bao la pili na matokeo kuwa 3-2.Bao za Czech Republic zimefungwa na Pavel Kaderabek dakika ya 24 na  Josef Sural dakika ya 35 bao la tatu likiwa la kujifunga kupitia kwa Robin van Persie dakika ya 66, Bao la Netherlands limefungwa na Klaas-Jan Huntelaar...
Siku 11 zimebaki kuifikia October 25 2015, ambapo Tanzania itakuwa kwenye tukio jingine kubwa na la kihistoria, Watanzania Milioni 22.7 waliothibitishwa na Tume ya Uchaguzi NEC, watapiga Kura kuchagua Viongozi katika ngazi ya Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Kwa...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania Crsistiano Ronaldo ameingia tena katika headlines baada ya kutwaa tuzo nyingine ya ufungaji bora. Cristiano Ronaldo ambaye September 30 aliweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu ya Real Madrid kwa kufunga jumla ya goli 324 na kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa...
Klabu ya Manchester United ya Uingereza ni moja kati ya vilabu vilivyotumia fedha nyingi katika dirisha la usajili lililofungwa mwezi August 2015. Toka kocha Louis van Gaal ajiunge na klabu ya  Man United, uongozi wa klabu hiyo umetumia zaidi ya pound milioni 250 kwa ajili ya kusajili...
RAIS JAKAYA KIKWETE (KUSHOTO) AKIPOKEA TUZO KUTOKA KWA MWENYEKITI WA TASWA, JUMA PINTO. Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo za Michezo Tanzania (Taswa) kimetoa tuzo maalum kwa Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake mkubwa katika michezo katika kipindi cha miaka yake 10 ya uongozi. Kikwete alipewa tuzo hiyo jana kwenye Ukumbi wa Mikutano...
Mchezaji wa Manchester United Memphis Depay amekwaruzana na Mchezaji wa zamani wa Klabu hiyo Robin van Persie wakati wa mazoezi wa Timu ya Taifa ya Netherlands. Tukio hilo limethibitishwa na Kocha wa Netherlands Danny Blind lakini amepuuza umuhimu wake na imefahamika kuwa lilitokea kabla ya Mechi ya Jumamosi ya EURO 2016 ambayo Netherlands iliifunga Kazakhstan 2-1. Kocha Blind, ambae...
Mshambuliaji matata Mbwana Aly Samatta anayeichezea klabu ya TP Mazembe ametajwa miongoni mwa wachezaji 24 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika anayecheza ligi ya barani Afrika.Uteuzi wake umetokea siku chache tu baada yake kuisaidia Taifa Stars kufika raundi ya pili ya mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia.Magoli yake matano katika awamu za robo fainali na nusu fainali yaliiwezesha...
UONGOZI wa Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park umetoa mwaliko kwa Vijana wote na Watanzania kwa ujumla kwenda kutumia Eneo hilo jipya na la kisasa kabisa. Uwanja huo upo Kidongo Chekundu katikati ya Jiji la Dar es Salaam na umejengwa kutokana na kuhudi kubwa za Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, na kwa ushirikiano wa Klabu ya Ligi Kuu England, Sunderland, na Kampuni ya...

waliotembelea blog