Saturday, July 25, 2015

  ...
Uchaguzi Mkuu wa Rais Burundi umefanyika tayari japo kulikuwa na mvutano mkubwa sana kutokana na ishu ya kuonekana Rais Pierre Nkurunziza kugombea kwa mara ya tatu ilikuwa ni kwenda kinyume na kanuni za nchi hiyo. Matokeo yametolewa July 24 2015 na matokeo yameonesha Rais Nkurunziza ameshinda tena Uchaguzi huo kwa kupata 69.4% ya kura na kumshinda mpinzani wake wa karibu Agothon...
Obama akishuka kwenye Ndege yake Kutua kwenye ardhi ya Kenya kwa mara nyingine Obama akitoka Kenya anaelekea Nchini  Ethiopia Rais wa Marekani, Barack Obama akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta leo. Pamoja nae ni Mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta. Obama aliwasili nandege yake ya Air Force One. Rais wa Marekani, Barack...
CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM Kiota Kipya Cha Maraha kimezinduliwa Kimezinduliwa Jijini Dar es Salaam jana Jiioni. Kiota hicho Jozi Lounge, inapatikana Pande za Msasani Village, jirani kabisa na Shule ya Msingi Msasani. Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto) akifungua Champaign wakati wa uzinduzi wa kiota hicho. Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau...

waliotembelea blog