MCHEZAJI
BORA DUNIANI Cristiano Ronaldo amerudi kwao huko Mji wa Funchat kwenye
Kisiwa cha Himaya ya Ureno cha Madeira hii Leo Jumapili kuhudhuria
uzinduzi maalum wa Sanamu yake ya kumuenzi kwa mafanikio yake.Mara
baada ya Jana kuisaidia Klabu yake Real Madrid kutwaa Kombe la Dunia kwa
Klabu baada ya kuichapa San Lorenzo ya Argentina Bao 2-0 huko
Marrakech, Nchini Morocco, Ronaldo aliruka...
Monday, December 22, 2014

RONALDO ATUA KWAO MADEIRA, TAYARI KWA UZINDUZI WA SANAMU YAKE!
MCHEZAJI
BORA DUNIANI Cristiano Ronaldo amerudi kwao huko Mji wa Funchat kwenye
Kisiwa cha Himaya ya Ureno cha Madeira hii Leo Jumapili kuhudhuria
uzinduzi maalum wa Sanamu yake ya kumuenzi kwa mafanikio yake.Mara
baada ya Jana kuisaidia Klabu yake Real Madrid kutwaa Kombe la Dunia kwa
Klabu baada ya kuichapa San Lorenzo ya...

JANA Usiku huko Marrakech, Nchini Morocco, ndani ya Le Grand Stade de MarrakechUnaopakia
Watu 45240, Mabingwa wa Ulaya Real Madrid wameichapa San Lorenzo ya
Argentina Bao 2-0 na kutwaa Kombe la Dunia kwa Klabu.Hii
ni mara ya kwanza kwa Real kutwaa Kombe hili ambalo ni Mashindano ya
FIFA ingawa wameshawahi kutwaa Intercontinental Cup mara 3 ambalo
lilikuwa likifanana na hili ingawa hilo...

Jokate na Guoxun wakionyesha mikataba baada ya kusaini Jokate na Guoxun wakibadilishana mikataba baada ya kusaini. Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company Limited (CEO), Deng Guoxun akuzungumza katika hafla hiyo Jokate akiteta jambo na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwenye hafla hiyo Wageni mbalimbali waalikwa wakishughudia...
Subscribe to:
Posts (Atom)