Zile stori za viongozi wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA
kutuhumiwa kula rushwa na kutumia madaraka vibaya, bado zinazidi
kuchukua nafasi katika vyombo vingi vya habari duniani, September 25
kutoka mtandao wa dailymail.co.uk umetangaza kuwa ofisi ya mwanasheria mkuu Uswiss imemfungulia...
Friday, September 25, 2015


Kabla ya dirisha la usajili halijafungwa mwezi August mwaka huu, barani Ulaya kulikuwa
na stori tofauti tofauti kuhusiana na baadhi ya wachezaji nyota
kuhusishwa kutaka kuvihama vilabu vyao na kujiunga na timu nyingine.
Moja kati ya mastaa waliokuwa wanahusishwa kuhama timu zao ni Neymar ambaye...


LIGI KUU ENGLAND RATIBA:
Jumamosi Septemba 26 14:45 Tottenham vs Man City 17:00 Leicester vs Arsenal 17:00 Liverpool vs Aston Villa 17:00 Man United vs Sunderland 17:00 Southampton vs Swansea 17:00 Stoke vs Bournemouth 17:00 West Ham vs Norwich 19:30 Newcastle vs Chelsea
Jumapili Septemba...



Barabara
zote za Jiji la Dar es Salaam zitaelekea Uwanja wa Taifa kushuhudia
Klabu kongwe Nchini Tanzania, Simba na Yanga, zenye Makao Makuu yao Eneo
la Kariakoo Jijini humo, zikipambana katika pambano la Ligi Kuu
LIGI KUU VODACOM RATIBA Jumamosi Septemba 26Simba vs Yanga Coastal Union vs Mwadui Tanzania Prisons vs Mgambo Shooting JKT Ruvu vs Stand United (Uwanja wa Karume, Dar es salaam)...



Mfanyaakzi
wa Airtel, (kulia), akijaza fomu ya kujiunga na mpango wa uchangiaji wa
hiari (Wote Scheme), wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa ufunguzi wa
wiki ya Wafanyakazi wa Airtel, makao makuu ya kampuni hiyo ya simu za
mikononi, jijini Dar es Salaam, Septemba 26, 2015.
Wafanyakazi
wa Airtel, wakipatiwa maelezo juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na
PPF, wkati...


MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:
Barclays Premier League
PosLogo &TeamPWDLGDPts
1Manchester City65011015
2Manchester United6411413
3West Ham United6402612
4Leicester City6330412
5Arsenal6312010
6Everton623139
7Swansea City623129
8Crystal Palace630319
9Tottenham Hotspur623119
10Watford623109
11Norwich City6222-18
12West Bromwich Albion6222-28
13Liverpool6222-38
14Bournemouth6213-17
15Chelsea6213-37
16Southampton6132-16
17Aston...


MSIMAMO ULIVYO KWA SASA'
La Liga
PosLogo &TeamPWDLGDPts
1Real Madrid54101313
2Celta de Vigo5410813
3Villarreal5410713
4Atlético de Madrid5401712
5Barcelona5401312
6Espanyol5302-59
7Deportivo de La Coruña522128
8Eibar522128
9Rayo Vallecano5212-37
10Valencia CF513106
11Real Sociedad512215
12Las Palmas512205
13Sporting de Gijón5122-15
14Real Betis5122-55
15Athletic Club5104-43
16Levante5032-43
17Getafe5104-53
18Granada...
Subscribe to:
Posts (Atom)