MABINGWA wa Italy Juventus wamesisitiza Kiungo wao Paul Pogba hauzwi licha ya Ofa kutoka Barcelona. Joan
Laporta, Rais wa zamani wa Barca ambae sasa anagombea tena nafasi hiyo,
ameweka kwenye ajenda yake kuwa akichaguliwa Urais basi atamnunua
Pogba. Laporta yupo kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais pamoja
na Rais wa sasa Josep Maria Bartomeu, August Benedito na Toni Freixa. Pogba,...
Friday, July 17, 2015


KOCHA
wa timu ya APR ya Rwanda, Dusan Dule Suyagic amejigamba kuwa kikosi
chake kitafanya vizuri kwenye mashindano ya Kagame inatarajiwa kuanza
kutimua kesho jijini Dar es Salaam. Akizungumza baada ya mazoezi na
timu yake yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Dusan alisema msimu
uliopita timu yake ilishika nafasi ya pili baada ya kufungwa na El
Merreikh ya Sudan hivyo msimu huu...


Arsene Wenger amesema Arsenal wanalenga kuwa Mabingwa wa Ligi Kuu England Msimu huu unaoanza Agosti 8. Msimu
uliopita Arsenal walimaliza Nafasi ya 3 kwenye Ligi ambayo hawajawahi
kutwaa Ubingwa tangu 2003/04 na tangu wakati huo walitoka kapa kila
Msimu na kuonja Makombe Mwaka Jana kwa kutwaa FA CUP na kulitetea tena
Mwaka huu. Hadi sasa Arsenal imemsaini Mchezaji mmoja tu, Kipa
Mkongwe...


Kocha wa Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm (kulia) akisisitiza jambo kwa
kuinua kidole juu na kufanya ukumbi kuzizima kwa kicheko alipokuwa
akiongea na wandishi wa habari juu ya mchezo wao dhidi ya Gor-Mahia
utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katikati
ni kocha mkuu wa Gor Mahia, Frank Nuttal na kushoto ni Katibu Mkuu wa
Vyama vya Soka vya nchi za Afrika Mashariki...


Raheem
sterling kwa furaha akiteta jambo na Wenzake alipofanya Mazoezi kwa
mara ya kwanza tangu ajiunge na Klabu hiyo ya Manchester City huko
Australia kwenye Ziara.Wachezaji wa City wakifanya mazoezi kujiandaa na Msimu mpya wa 2-15/2016Kwa Mara ya KwanzaYaya Toure nae alikuwemo kwenye mazoeziSterling katikati akifanya zoeziNi mazoezi kujiandaa na mechi za kirafiki katika kujiandaa na msimu...


Kocha wa Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez alijikuta anapata wakati mgumu kujibu swali katika mkutano na wahandishi wa habari baada ya kuulizwa kama ana amini Cristiano Ronaldo ni mchezaji bora duniani?
Ni kama Benitez alizuga kutoa jibu la swali hilo na hakutaka kabisa kumtaja Ronaldo kama mchezaji bora zaidi duniani, nafasi ambayo angepewa kocha wa zamani Carlo Ancelotti isingekuwa...


Klabu ya Bayern Munich imesafiri kwa muda wa masaa tisa kutoka Ujerumani hadi China kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa Bundesliga, huo huwa ni utaratibu wa vilabu vingi duniani.
Kizuri zaidi kuhusu safari yao ni mapokezi walioyapata Beijing
mtu wangu zilitumika dakika 30 tu kujaza umati wa watu wasiopungua
1000 kuwapokea...


Naibu
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi
kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa
'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.Naibu
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi
aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo
Meck alipotangazwa kujiunga na chama...


Kumeibuka
ripoti ya Liverpool kuja juu kuipiku Manchester United kwa kukubali
kutoa Pauni Milioni 32.5 kumnunua Straika wa Aston Villa Christian
Benteke.
Liverpool walikuwa wakimsaka Straika huyo wa Belgium tangu
Msimu uliopita kumalizika ingawa hawakuwa tayari kulipa zaidi ya Pauni
25 kumnunua lakini hali yao imebadilika ghafla baada ya kusikia Man
United nao wana nia na Benteke. Baada ya...


Timu
zote zinazoshiriki michuano ya Kombe la Kagame zinatakiwa kufika mjini
Dar es Salaam si zaidi ya leo tarehe 16 mwezi wa saba tayari kwa kuanza
kipute jumamosi. Kwa hivyo bila shaka hii leo kufikia jioni vikosi vyote
vya timu 13 vitakuwa vimefika nchini Tanzania. Timu zote zinatakiwa
kujilipia gharama za usafiri huku mambo mengine yakifanywa na waandaaji.Na
kama ndiyo kwanza unasikia...


Promota
wa Ngumi za Kulipwa, Shomari Kimbau (katikati) akiwa ameshika mkanda
ambao utapiganiwa na bondia Abdallah Pazi (kushoto) na Iman Mapambano
(kulia) kwenye ukumbi wa Vijana Kinondoni siku ya Idd pili katika uzito
wa kilo 76 light heavy raundi 10. (Picha na Rahel Pallangyo)
BONDIA Abdallah Pazi anatarajiwa kupanda ulingoni Idd Pili kwenye
ukumbi wa Vijana Kinondoni kuchuana na...
Subscribe to:
Posts (Atom)