Manchester
United wanatua huko London Stadium Jijini London kucheza na Timu ngumu
West Ham katika Mechi ya Ligi hiyo wakiwa kwenye wimbi tamu la ushindi
wa Mechi 5 mfululizo na kutofungwa katika Mechi zao 12 zilizopita. Leo,
Jose Mourinho, Meneja wa Man United, anataka kuuanza Mwaka Mpya 2017
kwa mguu mzuri kwa kusaka ushindi dhidi ya West Ham ambayo Msimu
uliopita kwenye Mechi kama hii...