Wednesday, March 19, 2014

Man Utd: De Gea, Da Silva, Jones, Ferdinand, Evra, Welbeck, Giggs, Carrick, Valencia, Rooney, van Persie. Subs: Lindegaard, Hernandez, Young, Fletcher, Kagawa, Fellaini, Januzaj. Olympiacos: Roberto, Leandro Salino, Manolas, Marcano, Holebas, Perez, Ndinga, Dominguez, Maniatis, David Fuster, Campbell. Subs: Megyeri, Paulo Machado, Samaris, Haedo Valdez, Papadopoulos, Vergos, Bong...
Wayne Rooney Mshambulizi wa Manchester United Wayne Rooney amesema kuwa kipigo cha mabao 3-0 walichokipata kutoka kwa Liverpool ni kama janga kwake na hiki ndio kipindi kigumu kwake kuwahi kukishuhudia tangu kuanza kucheza soka ya kulipwa. Steven Gerrard aliingiza mabao mawili kutokana na mikwaju miwili ya Penalti na kukosa la tatu kabla ya Luis Suarez kuongeza bao la tatu. Mchezaji...
  Didier Drogba husakata soka yake Galatasaray Meneja wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kuwa gwiji wa soka Didier Drogba angali mmoja wa washambuliaji bora zaidi duniani. Drogba anayesakata soka yake na klabu ya Galatasaray na ambaye aliondoka Stamford Bridge Juni mwaka 2012, leo anarejea...
Wafungaji bora wa Uefa champions tokea michuano hii ianzishwe  #PlayerTeam(s)M.GoalsPenaltyØ 1Raúl * FC Schalke 04 Real Madrid1427110.50 2Lionel Messi * FC Barcelona846780.80 3Cristiano Ronaldo * Real Madrid Manchester United996350.64 4Ruud van Nistelrooy Real Madrid Manchester United PSV Eindhoven7356100.77 5Thierry Henry * FC...
Wachezaji wa Man utd wakiwa mazoezini pamoja na kocha mkuu David Moyes. Mazoezi haya ni ya mwisho mwisho kabla ya kukutana na Olympiacos usiku wa leo. United itaingia uwanjani ikiwa nyuma kwa magoli 2-0 baada ya kukubali kipigo kwenye mechi ya awali nyumbani kwa Olympiacos. Ili kupita kwenda hatua inayofuata United wanatakiwa kushinda magoli 3-0 jambo ambalo linawezekana kwa timu...

waliotembelea blog