
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Zakheem Mbagala kwenye mkutano wake
wa kujitambulisha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambapo aliahidi
kuwatumikia wananchi na kutenda haki.Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa jiji la
Dar es Salaam kabla ya kumkaribisha mgombea wa Urais kupitia...