Monday, January 20, 2014

 Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria. Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation walivyokua huko Nigeria. Diamond amelipa dola 25,000 sawa na Tsh millioni 40 za kitanzania kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancer...
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA 2013-2014 Barclays Premier League Table Overall Home Away POSTEAMPWDLFAWDLFAWDLFAGDPts 1 Arsenal 22 16 3 3 43 19 8 2 1 20 6 8 1 2 23 13 24 51 2 Manchester City 22 ...
  Imetokea ajali mbaya huko Singida ambapo gari aina ya NOAH na Lori la mizigo yamegongana uso kwa uso na kisha gari hiyo aina ya NOAH kuingia chini ya uvungu wa Lori na kusababisha vifo vya watu hao 13 ambao wote walifia katika eneo la ajali. Taarifa inasema gari aina ya NOAH ilikuwa imebeba abiria kutoka Itigi wakielekea Singida Mjini. Dereva na utingo wa Lori walikimbia baada ya ajali...
Wafanyakazi wa shirika la Msalaba mwekundu wakiwasaidia waliojeruhiwa C.A.R Kumekuwa na machafuko zaidi katika Jamhuri ya Afrika ya kati, siku moja kabla ya baraza la mpito kumchagua rais mpya wa...

waliotembelea blog