Wednesday, November 19, 2014

Miss Tanzania Happiness Watimanywa ,paid a courtesy call to the Tanzania High Commission in London. She was welcomed by the High Commissioner H.E Peter Kallaghe. During their meeting Miss Happiness was able to update the high commissioner about her mission to represent Tanzania as a country at the famous 64th edition of Miss world beauty pageant ...
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kwenye nyasi za Uwanja wa Old Trafford leo kwenye Mchezo wa kirafiki. Raphael Guerreiro ndie ameipa ushindi Portugal katika dakika za nyongeza za kipindi cha pili kwenye dakika ya 90' +1. Bao lilitosha kuilaza Argentina kwa bao 1-0.Ilikuwa ni Messi V Ronaldo leo!Kwenye Uwanja wa Old Trafford palikuwa hapatoshi!! Kipindi cha kwanza Argentina waliutawala...
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akimtambulisha Mkurugenzi wa Yamoto Band Said Fella almaarufu kama Mkubwa na wanawe kwa wakazi wa jijini Mwanza waliotinga kwenye hekalu la maraha lililo Malimbe jijini Mwanza Jembe Beach.Vijana wa Skylight Band ndani ya Jembe Beach jijini Mwanza wakifungua burudani kwa kumpa sapoti Digna Mbepera (wa pili kulia) kutoa...

waliotembelea blog