Friday, July 8, 2016

Nyota wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za Sekondari (UMISETTA) Mussa Bakari akiwasili ndani ya uwanja cha ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kutokea katika kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyofanyika jijini Paris nchini Ufaransa.  Meneja Msaidizi wa Chapa ya Coca – Cola, Mariam Sezinga (kushoto) akimpokea kwa shangwe nyota wa soka aliyefanya...
Waziri wa Habari, sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnaye akizungumza katika uzinduzi wa mashindano ya magari jijini Dar es Salaam leo. Waziri wa Habari, sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnaye akiwa amenyanyua bendera ya Taifa juu kuashiria uzinduzi wa Mashindano ya Mbio za Magari ya 2016 jijini Dar es Salaam leo .Kulia kwa Nape ni Katibu wa Balaza la Michezo Tanzania(BMT), Mohamed...
Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp ameweka kandarasi mpya ya miaka sita na mmiliki wa klabu hiyo akisema ingekuwa makosa kutompatia kandarasi ndefu.Klopp alijiunga na Liverpool mnamo mwezi Oktoba ,baada ya kukubali mkataba wa pauni milioni 15 ambao umeongezwa hadi mwaka 2022.''Uongozi wake utakuwa muhimu katika kufanikisha malengo yetu'',  alisema mmiliki wa Liverpool. Klopp aliifikisha...
PepMkufunzi mpya wa Manchester City Pep Guardiola anasema kuwa alienda nchini Uingereza kuthibitisha kuwa inawezekana kucheza mchezo mzuri katika ligi ya Uingereza.Gurdiola mwenye umri wa miaka 45 ambaye ametia kandarasi ya miaka mitatu ,amesema kuwa alipendelea kusalia kuifunza Bayern Munich,lakini alitaka mtihani mwengine katika ukufunzi wake.Raia huyo wa Uhispania amekiri kwamba alikuwa...
Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mecky Maxime ametua Kagera Sugar. Maxime ambaye alikuwa akiinoa Mtibwa Sugar, sasa amesaini mkataba wa kuinoa Kagera Sugar. Meneja wa Kagera Sugar, Mohammed Hussein amesema Maxime ndiye kocha mkuu akichukua nafasi ya Adolf Rishard. Awali, kulikuwa na taarifa za kuondoka kwa Maxime kwenda Kagera, lakini uongozi wa Mtibwa Sugar ulilikataa hilo....

waliotembelea blog