Nyota
wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za Sekondari (UMISETTA)
Mussa Bakari akiwasili ndani ya uwanja cha ndege wa kimataifa wa Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere kutokea katika kambi ya Kimataifa ya Copa
Coca-Cola iliyofanyika jijini Paris nchini Ufaransa.
Meneja
Msaidizi wa Chapa ya Coca – Cola, Mariam Sezinga (kushoto) akimpokea
kwa shangwe nyota wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za
Sekondari (UMISETTA) Mussa Bakari (katikati) mara baada ya kuwasili
ndani ya uwanja cha ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere kutokea katika kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyofanyika
jijini Paris nchini Ufaransa. Pembeni ni Pamela Lugenge (kulia) mmoja
wa Afisa Masoko. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Meneja
Msaidizi wa Chapa ya Coca – Cola, Mariam Sezinga (kushoto) akimkabidhi
taji la maua nyota wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za
Sekondari (UMISETTA) Mussa Bakari mara baada ya kuwasili ndani ya uwanja
cha ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kutokea
katika kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyofanyika jijini Paris
nchini Ufaransa. Pembeni ni Pamela Lugenge (kulia) mmoja wa Afisa
Masoko.
Meneja
Msaidizi wa Chapa ya Coca – Cola, Mariam Sezinga (kushoto) akiwa katika
picha ya pamoja na nyota wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za
Sekondari (UMISETTA) Mussa Bakari (katikati) pamoja na Pamela Lugenge
(kulia) mmoja wa Afisa Masoko.
0 maoni:
Post a Comment