Soka | Barclays Ligi Kuu
Ligi Kuu ya viongozi wa Chelsea walikuwa kibao na sucker 87 dakika
Punch kama walikuwa uliofanyika kwa sare ya bao 1-1 na mnyenyekevu West
Bromwich Albion juu ya Jumanne, kuwapatia mpango cheo mbio nyuma Arsenal
na Manchester City.
Ilikuwa inaonekana kama upande Jose Mourinho ingekuwa hoja pointi nne
wazi baada ya beki wa Branislav...
Tuesday, February 11, 2014



STAA
wa Bayern Munich Franck Ribery hataweza kucheza Mechi ya UCL, UEFA
CHAMPIONS LIGI, Uwanjani Emirates wakati Arsenal na Bayern zitakapocheza
Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano hapo Jumatano Februari 19. Vigogo
hao wa Germany, ambao ni Mabingwa wa Nchi hiyo na pia ndio Mabingwa
Watetezi wa Ulaya, wamethibitisha kuwa Ribery atakuwa nje kwa Wiki mbili
baada Alhamisi iliyopita kufanyiwa...


Ndege ya usafiri ya jeshi imeanguka ikiwa imebeba zaidi ya watu 100.
Redio ya taifa inasema ndege hiyo
imeanguka katika eneo la milima katika jimbo la Oum El Bouaghi kusini
mashariki mwa mji mkuu , Algiers na ilikuwa imewabeba abiria 103
wakiwemo wafnyakazi wa ndege hiyo.
Kuna taarifa kwamba ndege hiyo ilikuwa imebeba familia za maafisa wa jeshi.
Ndege hiyo ya wanajeshi inaripotiwa
kuanguka...


Mgomo wa wafanyabiashara kahama bado unaendelea kwani tangia asubuhi maduka hayajafunguliwa
wao wafanyabiashara wanasema bado mgomo unaendelea ili waweze kufikisha ujumbe kuhusu kukataa kutumia mashine za EFD (MAXMALIPO) ili zisiendelee kutumika nchi nzima ya tanzania
maduka kama yanavyoonekana tangia asubuhi mpaka sasa hivi jioni
...



TIMU
ya wasichana ya Tanzania imekabidhiwa zawadi ya Sh milioni 16 baada ya
kutwaa ubingwa wa michuano ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17 ya
Kimataifa ya Airtel Rising Stars iliyofanyika Septemba mwaka jana nchini
Nigeria. Timu hiyo ilitwaa taji hilo baada ya kuifunga Kenya bao 1-0 lililofungwa na Donisia Daniel katika fainali hiyo.
Akipokea fedha hizo jana (Februari 10, 2014)...


WAKATI
wafanyabiashara wakiapa kuendelea na mgomo wao hadi siku ya jumatano
baada ya kukutana na mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter
Msigwa na mkuu wa mkoa wa Iringa pamoja na TRA ,jeshi la polisi mkoani
hapa limewataka wafanyabiashara wanaotaka kufungua maduka yao
kufungua bila kutishwa na mtu na kama ...


MC Chaku akiwa na mmoja ya wakazi wa Mbagala tayari kwa kuchagua mshindi wa Championi Shinda Mahela.
...Kuponi za Championi Shinda Mahela zikiwa tayari kwa ajili ya droo.
...Mchezesha droo akichambua kuponi katika Viwanja vya Mbagaka Zakhem jijini Dar.
MC Chaku akimfunga kitambaa mkazi wa Mbagala ili amchague mshindi wa Championi Shinda Mahela
Msimamizi
wa Bodi ya...


Mkurugenzi
wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib
Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana
Februari 10, 2014 juu ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo
wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika
kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel,...


Mkuu wa mkoa wa Iringa, Dr. Christina
Ishengoma leo amezungumza na wafanya biashara wa manispaa ya Iringa
katika ukumbi wa community centre uliopo eneo la Kitanzini katika
manispaa ya Iringa, mada kuu ilikuwa inahusu mgomo wa wafanya biashara
kupinga mashine mpya za kutoa risiti zilizotolewa na TRA ili zitumike
katika biashara zao.
baadhi ya wafanya biashara walio hudhuria...
Subscribe to:
Posts (Atom)