Ivan Rakitic akipongezana na Jordi Alba baada ya kuichapa BATE Borisov kipindi cha pili
Mlinda mlango Sergei Chernik akifanyiwa mbaya na Rakitic
Luis Suarez akifanya yake kwa wachezaji wa BATE
Mchezaji wa BATE Borisov Maksim Volodko akimkaba kwa nyuma Sergi Roberto leo jumanne usiku
Volodko na Javier Mascherano wakipambana kwenye Champions League
Neymar...
Tuesday, October 20, 2015


Baooo!2-0Ozil akishangilia bao lake la dakika za majeruhi!Balaa!Olivier
Giroud dakika ya 77 aliipatia Arsenal bao na kufanya 1-0 dhidi ya
Bayern Munich. Dakika ya 90 kwenye muda wa lala salama Arsenal
waliongeza kasi na kuweza kupata bao na mtanange kumalizika 2-0, Bao
likifungwa na Mesut Ozil.Alama tatu muhimu!Petr Cech akiokoa langoni mwakeTheo Walcott akijishangaa Kipa wa Bayern...


Willian akiachia shuti
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho kalazimishwa sare na Dynamo Kiev
Cesc Fabregas akipambana na Yevhen Khacheridi
Diego Costa akifanya yake
Mashabiki wa Chelsea
Piga nikupige dakika 90 hakuna aliyeliona lango la mwenzake! Hapa siyo England!!! Cesc Fabregas akiteta jambo na refa Damir Skomina Nemanja Matic akiangalia mpiraEden Hazard aliachia shuti na kugonga...


FIFA Leo imetangaza Listi ya Wachezaji 23 ambao watawania Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani wa Mwaka 2015, FIFA Ballon d'Or. Miongoni
mwa hao ni Cristiano Ronaldo, ambae ndie alietwaa Tuzo hiyo kwa Miaka
Miwili iliyopita huku Lionel Messi akitajwa pia na ambae wengi wanadhani
Mwaka huu ni zamu yake. Mshindi Ballon d'Or huamuliwa kwa Kura
inayohusisha Makocha na Makepteni wa Timu za Taifa Wanachama...


Wachezaji
watatu wa Manchester City Sergio Aguero, Kevin De Bruyne na Yaya Toure
ni miongoni wa wachezaji 23 walioorodheshwa kushindania tuzo ya Ballon
d'Or.Kiungo wa Chelsea Eden Hazard na mshambuliaji wa Arsenal Alexis
Sanchez pia wamo kwenye orodha hiyo ya kuteua mchezaji bora wa mwaka
duniani.
Tuzo
hiyo ya Ballon d'Or kwa sasa inashikiliwa na Cristiano Ronaldo wa Real
Madrid...


Kocha
wa Chelsea, Jose Mourinho, amejitetea kuwa kinachodhaniwa ni lugha
mbovu aliyotumia baada ya kushindwa na Southampton ni kwa kuwa
Kiingereza si lugha yake ya mama.Mourinho alifungiwa mechi moja na
kupigwa faini ya Pauni za Uingereza 50,000 na shirikisho la Kandanda la
Uingereza. Alidai kuwa maafisa wa kandanda nchini humo wanaogopa kuipa
timu yake penalti inayostahili. Madai ya Morinho...


Rais
wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michel Platini amesema bado ana
moyo wa kutaka kumrithi Sepp Blatter kama Rais wa shirikisho la
Kandanda duniani FIFA, licha ya kupigwa marufuku ya siku 90 ili kupisha
uchunguzi wa madai ya ufisadi dhidi unaoendelea dhidi yake. Platini,
mpaka sasa anatumikia adhabu baada ya kupokea Pauni za Uingereza milioni
1.35 kutoka kwa Blatter mwaka ...


KIKOSI
cha Wachezaji 20 wa Manchester United Leo hii wamesafiri kwenda Moscow,
Urusi ambako Kesho Usiku watacheza Mechi yao ya Kundi B la UEFA
CHAMPIONS LIGI, UCL, na CSKA Moscow.Kikosi
hicho kimeundwa na Wachezaji 18 ambao ndio walicheza na kuwa Benchi
Jumamosi iliyopita huko Goodison Park walipoichapa Everton Bao 3-0
kwenye Mechi ya Ligi Kuu England.
Wachezaji Wawili walioongezwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)