Saturday, May 23, 2015

Mkufunzi wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ametangazwa kuwa mkufunzi bora katika ligi ya Uingereza kwa mara ya tatu.Akihudumia kipindi chake cha pili katika kilabu hiyo rais huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 52 aliiongoza Chelsea kubeba taji lao la kwanza la ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka mitano pamoja na kombe la Ligi. Jose Mourinho ameiongoza Timu ya Chelsea na kuibuka na...
Klabu ya Ligi Kuu England Sunderland hivi karibuni imetembelea Tanzania ikiongozwa na Mkuu wao wa Kuendeleza Soka Kimataifa, Graham Robinson, ambae alizuru Migodi Miwili inayomilikiwa na Acacia Mining ili kutoa Mafunzo ya Soka kwa Jamii zinazoishi jirani na Migodi hiyo.Acacia Mining plc, ndiyo inayomiliki Migodi ya Dhahabu ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara.Ziara hiyo ya Graham ni Mradi...

waliotembelea blog