Monday, September 15, 2014

Manchester United  wameshinda Mechi yao ya kwanza Msimu huu kwenye Ligi Kuu England wakati Kikosi chao kipya kikiisambaratisha QPR kwa Bao 4-0 ndani ya Old Trafford huku Angel De Maria aking’ara na Wachezaji wapya Marcos Rojo na Daley Blind wakicheza Mechi yao ya kwanza na kuleta uhai mkubwa.Juan Mata akifanya yake.. Bao 3 kabla ya Mapumziko, zilizofungwa na Di Maria, Ander Herrera...
Kikosi cha Simba sc kilichokwenda Mtwara jumamosi na kutoka suluhu pacha ya bila kufungana (0-0) dhidi ya wenyeji Ndanda fc Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WEKUNDU wa Msimbazi , Simba SC, wanaenda kuweka kambi tena Visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya ligi kuu soka  Tanzania bara inayotarajia kuanza kutimua vumbi septemba 20 mwaka huu. Simba chini ya kocha Mzambia...

waliotembelea blog