Saturday, June 27, 2015

Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Moshi vijijini,Godlisen Maramia akipokea fomu kutoka kwa Deogratius Mushi ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini wakati liporudisha katika ofisi za chama hicho zilizopo Majengo. Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Moshi vijijini ,Godlisen Maramia akimpongeza mtia nia Deuogratius Mushi kwa uamuzi wa kuingia katika kinya'ng'anyiri...
Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga 2015 (Pepsi Meya Cup 2015) yamezinduliwa rasmi leo na mkuu wa wilaya ya Shinyanga ndugu Josephine Matiro katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga. Mashindano hayo ambayo yameandaliwa na mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafidh Mukadam na kudhaminiwa na kampuni ya Vinywaji baridi ya  Pepsi (SBC Tanzania Ltd) yanashirikisha...
Argentina wameingia Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Marekani ya Kusini, COPA AMERICA, baada ya kuitoa Colombia kwa Mikwaju ya Penati 5-4 kufuatia Sare ya 0-0 katika Dakika 90 kwenye Mechi ya Robo Fainali iliyochezwa Alfajiri hii.Katika piga nikupige ya Penati, Timu zote zilifunga Penati zao 3 za kwanza kupitia Lionel Messi, Ezequiel Garay na Ever Banega kwa Argentina huku Colombia...
Straika wa Argentina Carlos Tevez amekamilisha Uhamisho wake kwenda Boca Juniors kutoka kwa Mabingwa wa Italy Juventus. Tevez, mwenye Miaka 31, alianzia Soka lake huko kwao na Klabu ya Boca ambayo aliihama Mwaka 2004 kwenda Brazil kuchezea Corinthians na kisha kukaa Miaka 9 akichezea Klabu za Ulaya. Huko Ulaya alizichezea Klabu za England, West Ham, Mwaka 2006-2007, Manchester United, 2007-2009,...

waliotembelea blog